Kama Dr Shika wanamwita baby, why weee wakuite kaka sijui babu! Waeleweshe mkuu, wataelewa!Yani unakuta mtu umekaona katoto kakali facebook ile unakatext tu "HI" Kenyewe kanajibu "HI KAKA",,,hapo unaanza kuhisi dalili mbaya
au kanapost picha facebook halafu ghafla mwenzake anacomment "UMEPENDEZA MY WIFI" na kenyewe kanajibu "ASANTE MY WI".
Hiyo tabia siyo nzuri hata kidogo,acheni.
-NIMENUKUU-