Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ni muda huu huu kuelekea Weekend basi nikamcheki Mbinti mzuri ili nikale naye Supu ya Pweza.
Sasa ile nafika kwake ghafla bin vuu ananitambulisha.
Kwanza mimi sio mume wake, lakini ananitambulisha eti mimi mume wake kwa mdada mwingine mzuri sana mwenye shepu yake ndani ya Dira.
Sasa najiuliza mbona ameniwahi sana hivi? Ananiwekea vigingi? Mambo ya kutambulishana kwa namna hii ndio mara ya kwanza.