Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hahaha hatari na nusu.Kweli umevurugika hadi umeita "wanawakwa" na umekuja kuwashtaki jukwaa la siasa.
Mapenzi nyok° 😹
Hiyo ni Dawa nzuri sanaNi muda huu huu kuelekea Weekend basi nikamcheki Mbinti mzuri ili nikale naye Supu ya Pweza.
Sasa ile nafika kwake ghafla bin vuu ananitambulisha.
Kwanza mimi sio mume wake, lakini ananitambulisha eti mimi mume wake kwa mdada mwingine mzuri sana mwenye shepu yake ndani ya Dira.
Sasa najiuliza mbona ameniwahi sana hivi? Ananiwekea vigingi? Mambo ya kutambulishana kwa namna hii ndio mara ya kwanza.
😅😅😅Kweli umevurugika hadi umeita "wanawakwa" na umekuja kuwashtaki jukwaa la siasa.
Mapenzi nyok° 😹
Hahahah
Amenikomesha sana leoHiyo ni Dawa nzuri sana
Weka pichaNi muda huu huu kuelekea Weekend basi nikamcheki Mbinti mzuri ili nikale naye Supu ya Pweza.
Sasa ile nafika kwake ghafla bin vuu ananitambulisha.
Kwanza mimi sio mume wake, lakini ananitambulisha eti mimi mume wake kwa mdada mwingine mzuri sana mwenye shepu yake ndani ya Dira.
Sasa najiuliza mbona ameniwahi sana hivi? Ananiwekea vigingi? Mambo ya kutambulishana kwa namna hii ndio mara ya kwanza.
Naleta baadae ngoja nijifute jasho kwanzaWeka picha
Uko fullUzi tayari
Anaonekana ni dhehebu la Wakatukumeni,,,anawafikiria Sana WAWATAKweli umevurugika hadi umeita "wanawakwa" na umekuja kuwashtaki jukwaa la siasa.
Mapenzi nyok° 😹
Mimi ni mleyiAnaonekana ni dhehebu la Wakatuku eni,,,anawafikiri Sana WAWATA
Tumsifu Yesu Kristo?Mimi ni mleyi
Milele aminaTumsifu Yesu Kristo?