WANAWAWAKE HAWA NI WAJINGA

Kwekitui

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2017
Posts
1,070
Reaction score
1,083
WAJUE WANAWAKE 10 WAJINGA.

SAMAHANI KWA WALE NITAKAO WAKWAZA KWA POST HII..

(1)..Anaebadili jina mtandaoni na kujiita majina ya watu maarufu...Huyo NIMJINGA.

(2)Anaetoa mimba kisha analala na midoli huyo NIMJINGA

(3)Anaedate na mume wa mtu miaka nenda rudi na kuwakataa wanaotaka kumuoa huyo nae NIMJINGA.

(4)Anaeweka nywele bandia,kucha bandia,kope bandia ..alafu akiambiwa umependeza anasema asante...huyo nae NIMJINGA

(5) Anaebeba minguo ya bwana wake na kwenda kuifua hali ya kuwa anajua huyo bwana ni mume wa mtu...huyo ni NIMJINGA.

(6)Anaemkataa mwanaume anaetaka kumuoa kwa ajili ya bishoo wa kwenda nae club kila siku....huyo nae NIMJINGA.

(7)Anaetoroka kwao na kwenda kulala gest na bwana na asubuhi anaambiwa hapa sina hela iliyobaki naenda kumpa Mke wangu na akakubali...huyo nae NIMJINGA.

(8)Mwanamke ambae hamiliki hata kitanda kisha anataka mwanaume mwenye gari huyo nae NIMJINGA

(9)Anasema anaficha sehemu zake za siri wakati ameshalala na wanaume zaidi ya 10 huyo nae NIMJINGA..

(10)Anaeenda kwenye nyumba ya ibada huku amevaa sketi fupi alafu njia nzima anaishusha ili magoti yasionekane huyo nae NIMJINGA..

Waweza kuongezea hapo kama kuna wengine wenye tabia chafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3] [emoji16] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MWANAMKE ATAKAYEYABEZA YALIYOSEMWA KWENYE POST HII,, HUYO NAYE NI ZIGO, SIO TU MJINGA..
 
Anayepangiwa nyumba na wanaume na kujiita beautiful onyinye wakati hana issue yeyote hapa mjini zaidi ya kutawaliwa na vituko huyu ni zaidi ya zombie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…