UndergoatKama PSG na Man city wamefika final unawaita underdog nyie muitweje?
Mi nilijua utaandika simba ilianza hii tabia miaka ya 2000 kushuka chini kumbe hapo juzi tuHuwa ninawashangaa sana na kuwacheka mashabiki wa aina yako lakini napata wasiwasi kwa sababu nahisi nyie mmeanza kushabikia mpira juzi juzi. Nasema ivyo kwa sababu huu utaratibu wa kushabikia timu pinzani hasa ya Yanga au Simba zinapocheza kimataifa zilianzishwa na mashabiki wa Simba kama hujui kafuatilie. Sasa hivi mnaona mshabiki wa Yanga wanafanya kwa sababu hamjui kilianzia wapi.
Fuatilia muda na nguvu ni vyako. Nakupa reference moja Yanga na TP Mazembe nakumbuka ilikua 2016 fuatilia Simba fans walifanya nini!!
Hongera sana kwa timu ya simba kusaidia kupeleka timu nne kwenye mashindano hayo ya kimataifa. Mna stahili pongezi kwa hilo kwa kweli.Habari za majukumu mashabiki na wapenzi wa soka nchini Tanzania na Africa mashariki kwa jumla naamini niwazima na wale wenye changamoto mungu awasaidie na kuwafanyia wepesi.
...
Numetolea mfano soma vizuri weweMi nilijua utaandika simba ilianza hii tabia miaka ya 2000 kushuka chini kumbe hapo juzi tu
Kila kitu ni project kama hauna project kwenye soka la hakuna kitakachoenda kwa hyo kila kitu ni process mi nimetolea mfano na kwenye mafanikio kuna stage tofauti tofauti na simba imeshazienyesha kwenye Caf champions league tofauti na yanga.Hongera sana kwa timu ya simba kusaidia kupeleka timu nne kwenye mashindano hayo ya kimataifa. Mna stahili pongezi kwa hilo kwa kweli...
Mashabiki na viongozi wa yanga pale walipo mda huu wote wana vinyesi ila nahisi cha kwako kimehamia kichwani.Huwa ninawashangaa sana na kuwacheka mashabiki wa aina yako lakini napata wasiwasi kwa sababu nahisi nyie mmeanza kushabikia mpira juzi juzi...
My point is, u still cant brag about that! Tulia malizia process yako then anza kujitapa sasa.Kila kitu ni project kama hauna project kwenye soka la hakuna kitakachoenda kwa hyo kila kitu ni process mi nimetolea mfano na kwenye mafanikio kuna stage tofauti tofauti na simba imeshazienyesha kwenye Caf champions league tofauti na yanga.
Kwa hyo nikimaliza degree yangu niliyoipata pale sua nisifanye graduation mpaka nipate kazi ya uhakika si ndio hvyo?My point is, u still cant brag about that! Tulia malizia process yako then anza kujitapa sasa.
Hahaha sasa naona tatizo liko wapi hapa. Yani kweli unataka kusema aim ya kwenda kusoma degree ni kupata kazi? Ndio maana mimi na wewe hatuwezi kuelewana.Kwa hyo nikimaliza degree yangu niliyoipata pale sua nisifanye graduation mpaka nipate kazi ya uhakika si ndio hvyo?
Yanga wenye akili ni wawili tu.