Wanayanga mnazingua, jifunzeni kwetu mashabiki wa msimbazi

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,064
Reaction score
4,056
[emoji3][emoji3]

Huwa nahisi wanayanga mnaonewa ila kumbe ni nyie ndo mnazingua.

Kabla ya game ya Leo mlisema Mnyama atakufa goli nyingi tu, baada ya game mmebadiri gia angani kwa kudai Wydad huwa hatilii maanani game za away.

Mnazingua sana, ifikie stage mkubali TU kuwa Mnyama Yuko vizuri.

Acha tusubili hiyo game mnayoisemea.
 
Acha kutumia Tecno
 
Tumeshawazoea hao
 
Mbona nyinyi mlisema Tp mazembe mbovu kisa kufungwa na yanga?? Why hamkumpongeza Yanga?? Simba na yanga wote hamna mwenye unafuu kwenye unazi usio na uhalisia.
 
Mbona nyinyi mlisema Tp mazembe mbovu kisa kufungwa na yanga?? Why hamkumpongeza Yanga?? Simba na yanga wote hamna mwenye unafuu kwenye unazi usio na uhalisia.
mazembe amefungwa na kila mtu kwenye group lake, kamaliza na point 3!

wydad ni bingw mtetezi, kaongoza kundi lake, kawacharaza vigogo wengi kwenye kundi lake ikiwemo petro atletico,As vita, na Js Kablyie................
 
Mbona nyinyi mlisema Tp mazembe mbovu kisa kufungwa na yanga?? Why hamkumpongeza Yanga?? Simba na yanga wote hamna mwenye unafuu kwenye unazi usio na uhalisia.
Kwani uongo kuwa mazembe nbovu?
Mazembe nbovu kwa sasa hakuna timu hapo.
 
Reactions: Tui
Cha kuiga ni nini sasa
 
UTOPOLO miyayusho tu mchungaji ana matokeo yao ya nnje ndani na RIVERS wakaongee na mchungaji vizur maana mchungaji anasema wanafungwa mechi zote mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…