Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 803
- 1,329
Acha kutumia Tecno
Luc si alisema Yanga wote Manyani tena yana mwiko usiotoka nyuma kamwe? Au kuna Luc Mwingine ambaye hakuwahi kufundisha utopwinyo??Achen ujinga nyie simba ndo maana luc eymael aliwasema.
Dah hukumbuki Luc Eymael alikuwa kocha wa timu gani?Au ndio wale kwenye lile kundi.Nilidhani akili kumbe hata kumbukumbu.Achen ujinga nyie simba ndo maana luc eymael aliwasema.
🤣🤣🤣 Mchungaji TejaNachosubir ni utabiri wa Nabii wa mchongo utimie Yanga mdomo upoe
Hizi ni kampeni za mashoga na mabasha wao kupigia debe iPhone simu za shoga mwenzenuAcha kutumia Tecno
Mmevurugwa na Wydad sasa hivi mnatukana kila mtuHizi ni kampeni za mashoga na mabasha wao kupigia debe iPhone simu za shoga mwenzenu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mkuu luc aliwasema utopolo,atawasemaje simba akati alikuwa kocha wa kinyesi fc?Achen ujinga nyie simba ndo maana luc eymael aliwasema.