Wanayanga naomba majibu juu ya supu yetu ya Agosti 8, 2024

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Kuna vitu inabidi vifafanuliwe kuhusu hiyo supu,
Je, Itakuwa supu ya mbuzi, ng'ombe, kuku wa kisasa au kuku wa kienyeji?
Je, Tujibebee bakuli na vijiko kukwepa usumbufu au wataandaa vyombo vya kutosha?
Je, Na utumbo utakuwepo au zitakuwa nyama tu?
Je, Ni supu kavu, au na chapati au itakuwa mchemsho kabisa?

SUPU.jpg
 
Mtakabwa na mifupa mfe.Kama una hamu na supu,nunua kilo moja ipikwe iive.Vua nguo zote na ule hiyo supu hadi magego yalegee.Msitie aibu hadharani kugombea viminofu vya nyama.
 
Mnawaza supu tu kununua tiketi hamtaki mnataka mserereko
 
Kuna vitu inabidi vifafanuliwe kuhusu hiyo supu,
Je, Itakuwa supu ya mbuzi, ng'ombe, kuku wa kisasa au kuku wa kienyeji?
Je, Tujibebee bakuli na vijiko kukwepa usumbufu au wataandaa vyombo vya kutosha?
Je, Na utumbo utakuwepo au zitakuwa nyama tu?
Je, Ni supu kavu, au na chapati au itakuwa mchemsho kabisa,

Embu Kanunue ticket Kwanza....!

Acha kutusumbua na Supu.

Mtatangaziwa Siku ikitokea supu ya Bure pale Jangwani..
 
Kuna vitu inabidi vifafanuliwe kuhusu hiyo supu,
Je, Itakuwa supu ya mbuzi, ng'ombe, kuku wa kisasa au kuku wa kienyeji?
Je, Tujibebee bakuli na vijiko kukwepa usumbufu au wataandaa vyombo vya kutosha?
Je, Na utumbo utakuwepo au zitakuwa nyama tu?
Je, Ni supu kavu, au na chapati au itakuwa mchemsho kabisa,
Wanagawa supu ili wananchi waongeze makalio
 
Back
Top Bottom