Mifupa yote anakusanya GSm ana kazi nayo.Hao jamaa wameshawageuza misukule yao.
Kwani sio misukule?Hao jamaa wameshawageuza misukule yao.
Hii tayari ni misukule.Kwani sio misukule?
Kuna vitu inabidi vifafanuliwe kuhusu hiyo supu,
Je, Itakuwa supu ya mbuzi, ng'ombe, kuku wa kisasa au kuku wa kienyeji?
Je, Tujibebee bakuli na vijiko kukwepa usumbufu au wataandaa vyombo vya kutosha?
Je, Na utumbo utakuwepo au zitakuwa nyama tu?
Je, Ni supu kavu, au na chapati au itakuwa mchemsho kabisa,
Wanagawa supu ili wananchi waongeze makalioKuna vitu inabidi vifafanuliwe kuhusu hiyo supu,