Wanayanga tumchague Baraka Igangula. . kijana mstaarabu na mwenye nia ya dhati kuipeleka Yanga mbele

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
" Nawaomba wana Yanga wasije wakafanya makosa siku ya Jumapili, nawaombeni sana mchagueni Baraka Igangula. . kijana mstaarabu na mwenye nia ya dhati kuipeleka Yanga mbele, atatujengea uwanja na kujenga ghorofa pale Mafia hata akaunti yetu ya Bank itakuwa na pesa kama kipindi kile cha Iman Madega, huyo Tiboroha sisi kama wazee tulimwita na kumwambia asigombee bali tutamteua awe katibu akatuambia atatupa jibu, cha ajabu kachukua fomu sasa tutamkosa, TUMCHAGUE IGANGULA"

Ibrahim Akilimali.
 
Huyo Igangula since niko Secondary School namsikia hadi leo ndio kijana kweli.
 
Tiboroha CV yake ni pana sana,na uzoefu pia unambeba,ila uchaguzi unakuwaga na surprise kama wengi walidhani rais wa TFF angeshinda Ally Mayai,gafla hata kwenye top 3 ya kura hayupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu akiungwa mkono na Akilimali, fyekeleaaaa mbali.
 
Niujinga na upumbavu kumchagua mwenyekiti wa klabu ya soka au mchezo wowote masikini
 
Back
Top Bottom