Wanayanga wala msikate tamaa uwezekano wa kuendelea upo tena mkubwa tu

Sodoku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,271
Reaction score
2,903
Nlikuwa nawasiliana na jamaa flan yupo FIFA anasema Yanga ina uwezo mkubwa wa kuendelea mbele kwenye ushiriki wa Kombe hili ikiwa jambo hili litatokea.

Tuchukulia mechi ijayo Mo bejaija na Mediama watakapokuwa wanapambana. Wakakasirishwa na Refarii na kuamua kumpiga. Team hizi mbili zitatotelewa na hivyo kwenye hilo kundi itabaki TP Mazembe na Yanga tu na hivyo ikasonga mbele.
 
Manji kafanya sehemu yake tusimbeze lakini Yanga itasonga mbele kwa kasi zaidi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] probability ya io kitu kutokea ni 0.0000000000000001
 
Manji kafanya sehemu yake tusimbeze lakini Yanga itasonga mbele kwa kasi zaidi
wachezaji wa Yanga hawajalipwa mshahara wewe umeshachangia sh ngapi? Au kazi yako ni kupiga makelele tu huku
 
wachezaji wa Yanga hawajalipwa mshahara wewe umeshachangia sh ngapi? Au kazi yako ni kupiga makelele tu huku
Up todate fees za uanachama ni mchango tosha kama mwanachama
 
ha ha duh basi mtasonga mbele watani
 
Hahaah hiyo kitu kutokea haiwezekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…