Mshery sikiliza, sio lazima ucheze yanga timu zipo nyingi sana,Nimekuwa nilimfuatilia kijana Mshery kwa mda mrefu sana na kwa uzoefu wangu kama mchezaji wa zamani, kocha na shabiki, huyu kijana ni bora kuliko diara.
Kwenye mchezo wa jana dhidi ya mashujaa kama Mshery angekuwa golini tungetoka na clean sheet. Ni bora kuliko makipa wote wazawa hapa nchni kwa sasa! Anamzidi kipa wetu namba moja kwa ubora.
Beki zinafanya makosa mengiDiarra kila mechi anapigwa miti