Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
mbumbumbu fc wajiandae kuliwa na kouma!Nmeona ingizo jipya la huyu Kouma (tamka K with U) je mnamwonaje? Anaweza kutufikisha mbali? Maana tayari kuna team Kouma imejipambanua ikimpigia debe na kutangaza jersey yake mgongoni na jina lake kuuuuubwa.
Binafsi sina shida na Kou-Magic na uwezo wake. Hofu yangu ni huyo striker Celestin Ecua ndio nahisi tumechamba hapo. Jamaa namuona wa kawaida sana na sioni akifanya vizuri. Labda tusubiri muda usemeNmeona ingizo jipya la huyu Kouma (tamka K with U) je mnamwonaje? Anaweza kutufikisha mbali? Maana tayari kuna team Kouma imejipambanua ikimpigia debe na kutangaza jersey yake mgongoni na jina lake kuuuuubwa.
Hata huyo Kouma ni wa kawaida,... ni ngumu kupata mbadala wa top quality player kama Stephane Aziz KiBinafsi sina shida na Kou-Magic na uwezo wake. Hofu yangu ni huyo striker Celestin Ecua ndio nahisi tumechamba hapo. Jamaa namuona wa kawaida sana na sioni akifanya vizuri. Labda tusubiri muda useme
Azizi Ki kabla ya kumuona akichezea Yanga, je hapo awali ulimuona kama top quality player? Acheni muda utoe majibu msijifanye mnajua sana ya mbeleni.Hata huyo Kouma ni wa kawaida,... ni ngumu kupata mbadala wa top quality player kama Stephane Aziz Ki
Hahh kwahiyo Aziz Ki hukumtizama akiwa Asec Mimosas? kama umeanza kumuona akiwa Yanga basi upo sahihiAzizi Ki kabla ya kumuona akichezea Yanga, je hapo awali ulimuona kama top quality player? Acheni muda utoe majibu msijifanye mnajua sana ya mbeleni.
Nyuma yako ndani yako.... Endelea kuinama hivyo hivyo....Kolo unateseka ukiwa wapi?
Mashoga utayajua tu.Nyuma yako ndani yako.... Endelea kuinama hivyo hivyo....
Unajitangaza uchafu.Mashoga utayajua tu.
Vitendo wanavyofanyiwa wao vya kuinamishwa wanadhani kila mtu anafanyiwa.
Ndugu kolo ukiinamishwa unapata faida gani?