Wanayanga wenzangu ‘ tunaibiwa ‘ mbona hawa ‘ Wadhamini ‘ wetu hawaonekani katika Jezi zetu?

Yote hii ni kutaka kujipa faraja na kujisahaulisha kwamba jumamosi wa kimataifa tutakuwa Uwanjani kukipiga na wakimataifa wenzetu.

Tulieni dawa iwaingie.
 
Yaani we chizi ulitakiwa uwepo siku ileee pale msamvu
 
Mbona uandishi wako unafanana na yule ‘popoma’ flani hivi mnazi wa simba asiye choka kuinanga nanga timu pendwa ya wananchi au ndiyo wewe umekuja kivingine?
 
Maswala ya wadhani we yanakuhusu nini? Kazi yako ni kwenda uwanjani na kushabikia timu tu, Mengine waachie viongozi.
 
WENZENU TANASAJILI WACHEZAJI WAZURI NYIE MNASAJILI WAGANGA NA WACHAWI HIYO NDIO YANGA YA KISASA.
 
WENZENU TANASAJILI WACHEZAJI WAZURI NYIE MNASAJILI WAGANGA NA WACHAWI HIYO NDIO YANGA YA KISASA.

Sijakuelewa huu Ujumbe wako hapa unaniambia Mimi mwana Yanga SC Mwenzako au wale wa Simba SC Ndugu?
 
Tunaibiwa kwahiyo wana Yanga SC tunyamaze Ndugu? au Wewe ni Simba SC lia lia kabisa kama Frank Wanjiru?
Wewe mikia unalala unaiota Yanga. Ingekuwa kwenye maswala ya upelelezi ningekuambia hongera kwa ku-win,kutwa kutafuta yanayohusu Yanga. Lakini kwa sbb ni soka,wewe ni fara #1,ksbb hii nguvu yote unayoitumia kuichunguza Yanga ungeitumia vizuri kuichunguza Ud Songo kabla ya ile mechi mngekuwa mmevuka kibabe. Shida ndio hiyo mikia mnaelekeza nguvu kuichunguza Yanga tu
 
Mbona uandishi wako unafanana na yule ‘popoma’ flani hivi mnazi wa simba asiye choka kuinanga nanga timu pendwa ya wananchi au ndiyo wewe umekuja kivingine?
Yani GENTA hayupo smart kabisa ameshindwa kujitofautisha kiuandishi na kimtazamo. Watu tuna ID kumi kumi hunu ila si rahisi kushtukiwa labda mods waamue kukuumbua
 
Yani GENTA hayupo smart kabisa ameshindwa kujitofautisha kiuandishi na kimtazamo. Watu tuna ID kumi kumi hunu ila si rahisi kushtukiwa labda mods waamue kukuumbua

Kwanini unateseka Ndugu? Kama unao uhakika wote thibitisha hapa kwa Ushahidi wako kamili na unaobaki uwasilishe kwa hao Mods kama ulivyosema hapa ila ninachojua Mimi ni An Eagle na siyo huyo Bwana Wenu ambaye Kutwa mnamuimba na Kumtajataja hapa utadhani mmembebea Mimba zake. Wapuuzi wakubwa nyie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…