Mabulangati
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 796
- 167
MAHAFALI YA 43 NA SHAHADA YA JUU YA HESHIMA
[TR]
[TD="width: 41"] [h=1]Na.[/h] [/TD]
[TD="width: 242"] [h=1] Tuzo[/h] [/TD]
[TD="width: 287, colspan: 3"] [h=1] 2013[/h] [/TD]
[TD="width: 89"] [h=1]2012[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 96"] [h=1] wanaume[/h] [/TD]
[TD="width: 102"] [h=1]wanawake[/h] [/TD]
[TD="width: 89"] [h=1]Jumla[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 41"] [h=1]1.[/h] [/TD]
[TD="width: 242"] [h=1] Shahada ya Uzamivu[/h] [/TD]
[TD="width: 96"] [h=1] 36[/h] [/TD]
[TD="width: 102"] [h=1]6[/h] [/TD]
[TD="width: 89"] [h=1] 42[/h] [/TD]
[TD="width: 89"] [h=1] 28[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 41"] [h=1]2.[/h] [/TD]
[TD="width: 242"] [h=1] Shahada ya Umahiri[/h] [/TD]
[TD="width: 96"] [h=1] 658[/h] [/TD]
[TD="width: 102"] [h=1]368[/h] [/TD]
[TD="width: 89"] [h=1] 1,026[/h] [/TD]
[TD="width: 89"] [h=1] 671[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 41"] [h=1]3.[/h] [/TD]
[TD="width: 242"] [h=1] Stashahada ya Umahiri[/h] [/TD]
[TD="width: 96"] [h=1] 123[/h] [/TD]
[TD="width: 102"] [h=1]44[/h] [/TD]
[TD="width: 89"] [h=1] 167[/h] [/TD]
[TD="width: 89"] [h=1] 153[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 41"] [h=1]4.[/h] [/TD]
[TD="width: 242"] [h=1] Shahada ya Awali[/h] [/TD]
[TD="width: 96"] [h=1] 2,651[/h] [/TD]
[TD="width: 102"] [h=1]1,558[/h] [/TD]
[TD="width: 89"] [h=1] 4,209[/h] [/TD]
[TD="width: 89"] [h=1] 4,362[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 284, colspan: 2"] [h=1]JUMLA NDOGO[/h] [/TD]
[TD="width: 96"] [h=1] 3,474[/h] [/TD]
[TD="width: 102"] [h=1]1,975[/h] [/TD]
[TD="width: 89"] [h=1] 5,449[/h] [/TD]
[TD="width: 89"] [h=1] 5,214[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 41"] [h=1]5.[/h] [/TD]
[TD="width: 242"] [h=1] Shahada ya Awali, UCLAS[/h] [/TD]
[TD="width: 96"] [h=1] 156[/h] [/TD]
[TD="width: 102"] [h=1]20[/h] [/TD]
[TD="width: 89"] [h=1] 176[/h] [/TD]
[TD="width: 89"] [h=1]902[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 41"] [h=1]6.[/h] [/TD]
[TD="width: 242"] [h=1] Shahada ya Umahiri, UCLAS[/h] [/TD]
[TD="width: 96"] [h=1] 76[/h] [/TD]
[TD="width: 102"] [h=1]20[/h] [/TD]
[TD="width: 89"] [h=1] 96[/h] [/TD]
[TD="width: 89"] [h=1]-[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 41"] [h=1]7.[/h] [/TD]
[TD="width: 242"] [h=1] Stashahada ya Umahiri, UCLAS[/h] [/TD]
[TD="width: 96"] [h=1] 9[/h] [/TD]
[TD="width: 102"] [h=1]1[/h] [/TD]
[TD="width: 89"] [h=1] 10[/h] [/TD]
[TD="width: 89"] [h=1]-[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 284, colspan: 2"] [h=1]JUMLA KUU[/h] [/TD]
[TD="width: 96"] [h=1] 3,715[/h] [/TD]
[TD="width: 102"] [h=1]2,016[/h] [/TD]
[TD="width: 89"] [h=1] 5,731[/h] [/TD]
[TD="width: 89"] [h=1] 6,116[/h] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Aidha kwa namna ya pekee katika awamu ya pili ya mahafali haya, Mkuu wa Chuo atamtunuku Shahada ya Hesima ya Udaktari katika Fasihi (honoris causa) msomi, mwanafasihi aliyebobea na mwanaharakati mashuhuri hapa duniani Prof. Ngugi wa Thiongo. Prof. Ngugi amepokea kwa furaha na shukrani kupata heshima hiyo toka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na amekubali kuhudhuria mahafali na kupokea mwenyewe heshima hiyo. Prof. Ngugi anatunukiwa shahada hii kwa sababu ya mchango mkubwa alioutoa na anaoendelea kutoa kwenye fasihi, hasa za Kiafrika. Prof. Ngugi sio tu amekuwa mstari wa mbele katika kuendeleza fasihi za lugha za kiafrika, bali pia ni mwanamapinduzi halisi anayepinga ukoloni, unafiki na rushwa miongoni mwa wanajamii. Hili limeshuhudiwa katika uandishi wake wa michezo, riwaya na insha mbalimbali ambazo aliziandika si tu katika lugha za Kiingereza na Kiswahili, bali pia katika lugha yake ya asili, Kikuyu. Kwa kudhihirisha hili kabla ya mahafali, Prof. Ngugi atatoa mhadhara maalumu wa uanazuoni kuhusu Wanazuoni, Lugha za Ulaya na za Afrika: Baina ya Utumwa na Uwezeshwaji (Intellectuals, European and Africa Languages: Between Enslavement and Empowerment). Mhadhara huo utafanyika katika Ukumbi wa Nkrumah, Ijumaa tarehe 22 Novemba 2013, kuanzia saa nne hadi saa sita mchana. Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam unawakaribisha wadau wote wa elimu kuhudhuria na kushiriki mhadhara huo adimu wa Profesa Ngugi wa Thiongo siku hiyo ya Ijumaa. Mwisho, tunamhamasisha kila mhitimu kwenda kulitumikia Taifa kwa moyo wote kwa njia ya kujiajiri, kuajiri au kuajiriwa na hatimaye kuwa balozi mwema wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Imetolewa na Prof. Rwekaza S. Mukandala Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu ch Dar es Salaam