Wanazuoni nsaidieni, kwanini tanganyika ilipotea ktk muungano.

Wanazuoni nsaidieni, kwanini tanganyika ilipotea ktk muungano.

Noti mpya tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
974
Reaction score
245
Nini kilitokea Tanganyika ikapotea ktk ramani ya kitaifa na kimataifa kiasi cha kuzaliwa kile kinachoitwa Tanzania bara ilhali Zanzibar ikaimalika na kuwa na katiba yake?
 
Back
Top Bottom