Wanazuoni tuainishe abbreviation ya "Dr" katika kuanisha title ya mtumiaji

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
866
Reaction score
625
Kumradhi waungwana naona kuna mkanganiko mwingi hapa Nchini Mtu kuitwa Dr. inaonekana ni deal sana hata kufikia watu kuzitafuta kwa nguvu na pesa.

Napendekeza ziwekewe tofauti, Medical doctor iwe na abbreviation yake, maana hata watu wa assistant medical officer nao wanajiita ma doctor.

Doctorate za akina msukuma nao wanatumia hiyo hiyo, aliyesoma uzamivu na kufanya research naye anatumia hiyo hiyo, maji marefu naye mganga wa jadi naye tumtambulishe kwa Dr. mie naona siyosawa.
 
Haya mambo ya kuitana dk yapo kwetu tu huko kingine sijawi kuona wakingangania kuitwa dk.Kama watu wanapenda sana kuitwa hivyo wawekewe tozo kwa mwaka wawe wanalipia.
 
Kumradhi waungwana naona kuna mkanganiko mwingi hapa Nchini Mtu kuitwa Dr. inaonekana ni deal sana hata kufikia watu kuzitafuta kwa nguvu na pesa.

Napendekeza ziwekewe tofauti, Medical doctor iwe na abbreviation yake, maana hata watu wa assistant medical officer nao wanajiita ma doctor.

Doctorate za akina msukuma nao wanatumia hiyo hiyo, aliyesoma uzamivu na kufanya research naye anatumia hiyo hiyo, maji marefu naye mganga wa jadi naye tumtambulishe kwa Dr. mie naona siyosawa.
Kwenye Maisha hutakiwi kuwa Serious hivyo wacha Watu waenjoy Life..
BTW unaonekana wewe Ni GP
 
Back
Top Bottom