Kwenye Maisha hutakiwi kuwa Serious hivyo wacha Watu waenjoy Life..Kumradhi waungwana naona kuna mkanganiko mwingi hapa Nchini Mtu kuitwa Dr. inaonekana ni deal sana hata kufikia watu kuzitafuta kwa nguvu na pesa.
Napendekeza ziwekewe tofauti, Medical doctor iwe na abbreviation yake, maana hata watu wa assistant medical officer nao wanajiita ma doctor.
Doctorate za akina msukuma nao wanatumia hiyo hiyo, aliyesoma uzamivu na kufanya research naye anatumia hiyo hiyo, maji marefu naye mganga wa jadi naye tumtambulishe kwa Dr. mie naona siyosawa.
Hapo kuna abbrv ya Eng na Sw, neno ni lile lile moja lenye maana nyingi.Doctorate ya Medical= Dr
Doctorate ya elimu nyingine= Dkt