GE2025 Wanazuoni wa Kiislamu: Msiache nafasi hii adhimu ya kuchagua viongozi wanaotufaa. Tusikubali kuvutwa na Propaganda

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Matamko yameendelea kutolewa kuhusu Uchaguzi huu

Hawa wanajiita Wanazuoni wa Kiislamu

Your browser is not able to display this video.
 
Wakuu,

Matamko yameendelea kutolewa kuhusu Uchaguzi huu

Hawa wanajiita Wanazuoni wa Kiislamu

Mbona akina Fr Kitima na Askofu Pisa Rais wa TEC kutwa wanatoa matamko kuhusu uchaguzi. Hadi wakafunga novena, mbona hukuwabeza?

Kila dini ishinde mechi zake, Waislamu msikubali kuburuzwa. Ila mimi ni Mkatoliki, nasali Parokia ya Bikira Maria wa huruma, Mbezi Shule
 
Tulia Nchi ikombolewe wewe JWTZ waiongoze kipindi cha mpito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…