Wandugu wa jukwaa lengwa naombeni msaada kwa hili!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
11,483
Reaction score
3,369
Je? Sheria ya hapa Nchini inasemaje kuhusu raia wa kigeni aliyefika hapa Nchini na hakupata uraia bali ana pass ya kusafiria, Anaweza akanunua makazi yoyote ikawa mali yake?
Tuseme anataka kiwanja na kiwanja kina nyumba ya kuishi ndani,anaweza akanunua na akawa mmiliki halali ingali si raia halisi?

Naombeni mwenye uelewa na hili anidodose itakavyokuwa.

Ni hilo tu Ndg zanguni maana naamini JF ni mambo yote!

Pamoja sanaaaaa!
 
katiba ya sasa inakataza raia wa kigeni kumiliki aridhi hapa nchini..
 
Hairuhusiwi na kinyume cha sheria ya Ardhi Na.4 ya 1999 kwa mtu yeyote asiye raia kumiliki ardhi nchini. Isipokuwa kma ni mwekezaji anaweza akapewa derivative right(sect 20 of the Land Act).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…