Wanga, wachawi na mizimu huwa hawafanyi mambo yao mchana?

Wanga, wachawi na mizimu huwa hawafanyi mambo yao mchana?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Kwa nini wanga, wachawi na mizimu huwa kuonekana kwake ni usiku tu?

Kila nikisikia stori za haya mambo ni mtu alikuwa amelala usiku, usiku watu walikuwa wanapaa na ungo ndio likatokea jambo, usiku mtu alikuwa anaendesha gari.

Majini tu ndio huwa nasikia stori zake yakiwa yanafanya mambo yao mchana.
 
Back
Top Bottom