Wanganga wa kienyeji waliopewa Leseni kupitia wizara ya utamaduni wapokonywe lesseni haraka iwezekanavyo maana Wameshindwa kulipigania taifa

Wanganga wa kienyeji waliopewa Leseni kupitia wizara ya utamaduni wapokonywe lesseni haraka iwezekanavyo maana Wameshindwa kulipigania taifa

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Hizi ni dharau kubwa sana kuona timu zetu zinafika hatua nzuri katika michuano ya kimataifa lakini zinashindwa kusonga mbele Tena zinafungwa uwanja wa nyumbani.

Nilishawahi Kuandika humu baada ya Yanga Sc kufungwa na USMA (fainali) Yanga Sc walipgwa mbili kwa moja nyumbani.

Nini kazi ya waganga wa kienyeji wanaochukua Leseni katika taifa hili?! Ina maana Wameshindwa kabisa kufanya ULOZI WAO/UTAMADUNI wao ukipigwa mpira kipa aone Moto au tufe kubwa afungwe? Na timu zetu zinufaike?!

Maoni Yangu: waziri husika shughulika na waganga warufishe Leseni maana Wameshindwa kabisa kufanya utamaduni wao timu zetu zisonge mbele yaani uwanja wa Nyumbani tunafungwaje wakatufunge huko lakini siyo nyumbani, wapokonywe Leseni kwani siyo wazalendo kabisa.
 
Back
Top Bottom