Wangapi mnakubali bangi ihalalishwe Tanzania?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370






Iwe ni washkaji wa kitaa, wanafunzi wa sekondari na vyuoni, wasanii, wanamichezo, waheshimiwa ,n.k ni wazi ya kwamba bangi inatumiwa na watu wengi sana sikuhizi Tanzania ikiwa ni sehem nyingi sana utipata kwa tsh.300 kwa wauzaji ambao karibu kila kona wapo, kiufupi ni kwamba nimegundua bangi inapendwa sana kiasi kwamba nchi zilizoendlea kama nederland, canada, marekani n.k walisharuhusu na mabo yanaebdelea kama kawaida. Binafsi bangi ikihalalishwa ntaona sawa tu mbona kenya na uganda mirungi ni halali ila sio Tz na kwanini Tz isihalalishe bangi afu huko kenya na ugandaiwe illegal kiukweli naona kuna haja sana ya kuhalalisha pia inasemekana kuwa ni dawa na ina kiasi kidogo sana cha kuleta cancer kuliko ile tumbaku ya sigara HII KITU IHALALISHWE JAMANI!!!!!!
 

Attachments

  • o-MARIJUANA-ARRESTS-facebook.jpg
    110.8 KB · Views: 150
  • Marijuana.jpg
    188.7 KB · Views: 124
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…