tawakkul
Member
- Oct 12, 2022
- 90
- 71
Habari wakuu,
Hii ripoti ilisababisha mvutano mkubwa na mpaka wanaojitambua kutaka kulazimisha bunge kuijadili kabla ya muda wake.
Hivi wale walichezea pesa zetu, kodi zetu kwa maslahi yao na familia zao wamechukuliwa hatua gani? Au ni siri na hatupaswi kufahamu?
Tuliambiwa tusubiri bunge la mwezi wa tisa, au kuna mwezi wa tisa wa kibunge zaidi ya huu tunaoufahamu?
Au tuamini kwamba wahusika walikwenda kwenye mambo ya Kiswahili na kutufunga midomo sisi wote? Au ndiyo bunge letu as usual (bunge dhaifu)?
Tumeshasahau jamni muda mfupi tu?