Wangapi wanaendelea kutongozana ana kwa ana?

kwani siku hizi kuna kutongoza au ni kushika mkono tuu ?
 
Wacha vidole viongee daaah technology imefanya tuwewavivu wakutongoza ana kwa ana
 
Simchukuliagi serious mtu anaenitongozea kwenye simu... Hua namuona ana tamaa tu na pili amekosa ustaarabu. Kama ananitongozea kwenye simu ata kuniacha anaweza niacha kwa meseji tu.!
Alafu madomo zege ndo wanapenda tongozea kwa njia ya simu. Mi nataka unamwaga mistari nakuona na nakusoma, ko kama yes au no unaipata hapohapo.
 
Kutongozwa kwa mdomo na barua ina raha yake bwana, rijali hawezi kukutongoza kwa sms ni dharau hiyo bhana.

Kama vipi muite mahali umueleze ya moyoni
 
Kutongozwa kwa mdomo na barua ina raha yake bwana, rijali hawezi kukutongoza kwa sms ni dharau hiyo bhana.

Kama vipi muite mahali umueleze ya moyoni
Hakunaga siku hizi ukiona nimekuita sehemu basi nishamaliza kwa sms
Siku hizi ni kutongoza kwa Emoji tu
true dat
Mmoja kati ya 100 type yako
 
Endelea kutongoza kwa txt ila siku atakapo-screenshot pumba zako asambaze kwa watu unaowaheshimu ndo utaelewa kuwa wanawake si watu wa mchezomchezo..
 
Wenyewe sikuhizi wanasema makavu live...
Kuonana kunanoga zaidi! Naonaga kwenye movie
 
Endelea kutongoza kwa txt ila siku atakapo-screenshot pumba zako asambaze kwa watu unaowaheshimu ndo utaelewa kuwa wanawake si watu wa mchezomchezo..
[emoji23] [emoji23] Pana Ukweli hapa!!
Tena kama mambo yameenda kombo ushahidi nje nje....
Haya mambo lazima uwe smart na kuzingatia Privacy
 
Endelea kutongoza kwa txt ila siku atakapo-screenshot pumba zako asambaze kwa watu unaowaheshimu ndo utaelewa kuwa wanawake si watu wa mchezomchezo..
Akili yake itakuwa imefika mwisho,na mpaka ajue hao watu si siku hyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…