watu wawili wanapendana sana .. nani wanandoa kwa muda wa miaka 6..
mama kagundua baba anatoka nje ya ndoa....
alichofanya alimshauri mmeo wawe na open Relationship....
Je jamani nataka kujua ni wangapi wangekubaliana na hili???
An open relationship is a relationship in which the people involved agree that they want to be together, but in which romantic or sexual relationships with additional people are accepted, permitted or tolerated. To large degree this is a generalization of the concept of open marriage beyond matrimonial relationships.
ina maanisha wote wanaishi nyumba moja lakini wanaruhusiana kutoka nje ya ndoa yao kimapenzi....
An open relationship is a relationship in which the people involved agree that they want to be together, but in which romantic or sexual relationships with additional people are accepted, permitted or tolerated. To large degree this is a generalization of the concept of open marriage beyond matrimonial relationships.
watu wawili wanapendana sana .. nani wanandoa kwa muda wa miaka 6..
mama kagundua baba anatoka nje ya ndoa....
alichofanya alimshauri mmeo wawe na open Relationship....
Je jamani nataka kujua ni wangapi wangekubaliana na hili???
samahani kuhusu dini wao ni wale watu wanaojiita Free Spirit
nadhani hawa wamegundua hayo manane watu hawayatilii manani enzi hizi...
sasa wenyewe wameamuaku kuweka wazi kila kitu kuliko kuibia ibia lol
[/b]
i like that baba watoto...
Hii ni ngumu sana lazima kuna siku watanuniana kuona MALI yako inaliwa nawe unajua??!!
Kama wanapendana ni bora wakae chini waweke mambo sawa!!
Pia wakumbuke kuna Maradhi hiyo OPEN relationship ni mbaya!!!