Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
haya sawa kabisa....
wamesameheana lakini wameongea na wemelewana kwa roho nzuri kabisa
kwamba hii ndo solution nzuri.....
kwa ndoa yao.....
Namsupport huyo mwanamke. Kama ana watoto na hataki kuonesha kuwa kuna mgogoro bora afanye hivyo ila wawekeane mipaka ya kutoleta wapenzi wao nyumbani.
They can sleep in the same room but different beds.

mmmhh ingawa sijaelewa jibu lako lakini asante sana kwa maoni..
Enzi zetu (1947), mambo kama hayo tuliyaita BANGI AU Gongo la Mwanza (linalotokana na kutapisha vyoo)!
Kama wanafikiria hayo mambo kwa nini wasifungue biashara hapo home au wakapanga nyumba kabisa ili watengeneze mafweza?
Naona wanataka kuoga tope kwa kutumia maji taka!

uuuuuuwwwwiiiii babu Asprin umerudi..
mmmhhh shikamoo babu
nini umetuandalia mwaka huu babu??
hawa wanajiita free spirit.....
An open relationship is a relationship in which the people involved agree that they want to be together, but in which romantic or sexual relationships with additional people are accepted, permitted or tolerated. To large degree this is a generalization of the concept of open marriage beyond matrimonial relationships.
Yaani ukimfumania kitandani kwenu unamuomba radhi kwa kumkatiza starehe sio?:redfaces::redfaces: