Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Tafuta wa wkend maisha yaenderelationship moja imekuwa long distance nyingine niko in for f*cking only, hell yeah kwahiyo nahisi naingia kwa kundi la single
Kama upo mwenyewe mwenyewe tu, kwenye hii wkendSingle katika muktadha upi..
Eee
We upo singo???Kama upo mwenyewe mwenyewe tu, kwenye hii wkend
Kwa leo nipo singo, njoo unipe kampaniWe upo singo???
Location, nauli, ya kutolea, tozo....I lavyu πKwa leo nipo singo, njoo unipe kampani
Ai lavu yu tu, mwanzaLocation, nauli, ya kutolea, tozo....I lavyu π
Nafanya hivyo mkuuTafuta wa wkend maisha yaende
Air Tanzania one way, kurudi nitapanda hata lori la mchele.....nauli sasa bebeAi lavu yu tu, mwanza
SawaNafanya hivyo mkuu
Siku hizi kuna hadi kutuma TOZO kumbe πLocation, nauli, ya kutolea, tozo....I lavyu π
Ngoja nikufanyie booking fasta, wkend iende vizuriAir Tanzania one way, kurudi nitapanda hata lori la mchele.....nauli sasa bebe
Yeah pamoja na yote tozo lazima, hutaki hamia burundi πSiku hizi kuna hadi TOZO kumbe π
Fafanua mkuuLengo ni lile Lile.
#Mnaviziana tu
Nitumie nikafanye booking mwenyewe kuna makonda nawajua pale airport πNgoja nikufanyie booking fasta, wkend iende vizuri