Source ni ya ukweli mkuu!Bila picha wala source of information hapa umetupa story za kijiweni. Au source kakupa mshikaji nae alipewa na mshikaji, mshikaji mwenyewe alisoma story kwenye gazeti la mwaka ule, jamaa kapokea story kama ya jana. .
Ni kosa kula mke wa mtu.Kuzini sio kosa kisheria.
Hakuna mtu aliye wahi kufungwa kwa kula tunda la mke wa MTU kimasihara. Ndio maana nasema usipende kufumania LIVE.
Kwani anaichukua? Si mkeo anabaki nayo na wewe Mara moja moja unajipigia....
Ni kosa kula mke wa mtu.
Mkuu let story bhna jins ulivyotsjirika kwa kuiba majenezaSource ni ya ukweli mkuu!