Wangekuambia andika title ya kitabu ya kushangaza ungeandika nini?

1. ^Mitano Tena^

2. ^Dunia Imefunikwa Barakoa^

3. ^Maendeleo Hayana Chama^

4. ^Watangulizeni Ndugu Zenu^

5. ^Hatuwezi Kukubali^

6. ^Afrika Itajengwa na Waafrika^

7. ^Nitarudi Tena^

8. ^Usiniimbie Mapambio ya Korona^

9. ^Uchumi wa Viwanda^

10. ^Sayansi ya Nyungu^
 
11. Tumelaliwa sana
12. Nasema uongo ndugu zanu
13. Mshahara wangu milioni 9
 
"MUMEO NDIYE NDUGU YAKO, SIKU AKIFA HUNA CHAKO, CHUKUA TAHADHARI"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…