Wang'oa viti wamekuwa wema?

Eymael atakuwa shujaa kwa muda mrefu kwani hakukurupuka kusema hayo maneno aliwagundua baada ya kukaa nao kwa miezi sita na kadri siku zinavyoenda tunashuhudia kile alichokisema
Shujaa wa siku nyingi ni Rage. Alishindwa tu kusema Manguruwe ni tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…