Wanigeria kwa hili mnahitaji pongezi kutoka kwa waafrica wote

Prodigal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2009
Posts
1,068
Reaction score
711
Kwa mara ya kwanza Dr. Innocent Chukwuma amewatoa kimasomaso wa Nigeria


Huyu jamaa ameweza kuanzisha kampouni yake ya kutengeneza magari (KIBIASHARA) inayoitwa (INNOSON Vehicle Manufacturing Company Limited). tRADE NAME YAKE NI ( IVM). Anazalisha magari ya aiana mbalimbali na lengo ni kuyauza Nigeria, West Africa ,Africa Yote na Dunia Nzima.
Kwa taarifa zaidi unaweza tembelea website yao http://innosonivm.com
aina mbali mbali za magari anayozalisha Products - Innoson Vehicle


Nini kwa nchi kubwa yenye rasilimali nyingi kama Tanzania tunaweza jifunza???? mIAKA YA SABINI KULIKUWA NA SERA NZURI ZA KUWEZEHS MAMBO KAMA HAYA YAFANYIKE LAKINI KWA ULAFI WETU....TAMAA YA MALI.....UBINAFSI ....KILA KITU KILIULIWA......



Tunakumbuka NYUMBU ila tunasikitika kwani ni viongozi wetu walikubali kuuwa hili shirika kwa kutolitengea budget ya kutosha…..na wachambuzi wa mambo wanavyodai nchi kama (UK,JAPAN,India) zisingependa hili shirika liwe imara kwani TZ ilikuwa ni soko kubwa saana la Magari yao..MFANO TATA



Na kwa MUOLEKEO wa sasa TANZANIA itakuwa Gulio la Bidhaa kutoka China, India, Japan Na kwingineko…….wanasiasa ambao kila kukicha mnalumbana kwa mambo ambayo hayana TIJA mnashindwa vipi kuja na SERA Nzuri zitakazo mwezesha Mtanzania wa kawaida mwenye mtaji aanzishe kitu kama hiki. TUNAKUMBUKA NYUMBU- KWA TANZANIA, KENYA WALIKUWA NA NYAYO...ILA WALIWEZA HATA KUZALISHA KWA BIASHARA....NYUMBU WAMESHINDA HATA KUUNDA BODY ZA MATRACTA UKIACHILIAMBALI BODY ZA MAGARI MBALI WANAYOTUMIA.....


Kenya mfano hawaruhusu mtu aagize basi na body yake body zote zinatangenezewa Kenya…watengenezaji wanalipa kodi kiasi gani? Wameajiri vijana wangapi??? Hili ni eneo ambalo serekali wangeliona nadhani wigo wa kuongeza vyanzo vya kodi ungekuwa mpana saana


Nadhani tunatakiwa tuwe na mfomo mpya…watu wapya kwani mliopo hatuoni mnachokifanya kabisa
 
Hawa jamaa isingekuwa ni kukumbwa na mapinduzi mengi ya kujeshi wangekua mbalu sana, hata South Africa isingeona ndani, ni mapinduzi pekee yaliyo irudisha nyuma.
 
Hawa jamaa isingekuwa ni kukumbwa na mapinduzi mengi ya kujeshi wangekua mbalu sana, hata South Africa isingeona ndani, ni mapinduzi pekee yaliyo irudisha nyuma.

Shida yao kubwa ni ufisadi tu kama wabongo
 
inabidi serikali yao iwecount utapeli kwenye GDP yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…