Ndugu wadau,
Kuna jamaa amenitonya jana alikua mikocheni Resource Centre (MRC) karibu na Hubert Kairuki Hospital wamejaa watu na mataifa mbali mbali hasa west Africa hawafanyi kazi ni madili ya kutapeli watu kwa njia ya simu wakiwa wamekaa makundi mawili hadi matatu tofauti.
Wakati wakaiwa wanafanya hayo wanaongea na mtu wanaotaka kumtapeli kwenye loud speaker kisha mmoja anasogea pembeni anampigia mhusika kwa simu ingine akijidai yupo sehemu ingine ilikumseti mteja wao huo.
Ombi
Serikali kupitia vyombo vyake vyote police usalama miigration na vingine fanyeni uchunguzi hawa watu wanawaliza watanzania, na hata biashara ya madawa inaweza kuwa inafanyika eneo husika.
lakini pili kama mgeni hana shughuli maalumu anayofanya nchini arudishwe kwao kama sivyo
Basi tunaomba serikali itutangazie MRC ni kituo cha wakimbizi wa kinageria etc
Nimetimiza wajibu wangu kama Responsible citizen