Wanja kope za chini

Kuna watu humu hawajamwelewa mleta mada amemaanisha hivi..
Mdada akiwa anapaka wanja kope za chini ya jicho(kope zilizopo chini zinapakana na pua kwa cm chache) wakati wa kupakwa automatic unakua kama unaZomea hiv kwa wale waoga wenzangu vimachozi havikosekani machoni[emoji16][emoji16][emoji16][emoji6]
 
Lol! Nilikuwa sijakuelewa πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ ikabidi nikusome tena. Ni ubunifu wa aina yake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji109] [emoji106] [emoji817] [emoji781] [emoji779] [emoji817] [emoji779]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…