wanojua kuhusu hili tujuze tafadhali

wanojua kuhusu hili tujuze tafadhali

tunyi

Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
15
Reaction score
2
mtu akiwa na degrii 2, nafasi zikatoka serikalini zenye sifa zake ila wanahitaji mwenye degrii moja. huyo mtu akaamua kuomba hiyo nafasi kwa kutumia digrii ya kwanza akafanikiwa kupata hiyo nafasi:
1)je anaporipoti kazini anapokuwa anajaza personal particulars na academic background aambatanishe cheti chake cha digrii ya pili? na kama aambatanishe cheti chake cha digrii ya pili,mshahara utakua TGSD?
2)kama hata include cheti chake cha digrii ya pili afwate procedure zipi na baada ya mda gani aweke cheti chake cha digrii ya pili?
Naomba kuwasilisha wana jf.
 
King kong III naona umejibu kama msela nondo !
 
Atalipwa kadri kazi ilvotangazwa n mahtaj yke, c vngnevo!
 
Back
Top Bottom