Want to be a Rival to NHC with 100Ml Cash in hand

Atleaet you have an idea. Tuwasiliane
 
Mkuu,pole sana unataka kushindana na NHC nakuuliza swali la kijinga wamekufanya nn kwani?NHC wana assets za azimio la arusha tangu,umezaliwa lini wewe?naona huyo ni mtoto wa juzi kweli
 
If I acquire as little as 100Ml, I'll make sure that I grow and become a Rival to NHC(National Housing Corp).

Wazo lako kibiashara si zuri sababu umelenga kwenye ku-compete.Biashara unapoanza hulengi ku-shindana na yeyote una lenga ku-satisfy needs za target market fulani.Wewe bado mtoto mdogo mno kibiashara hangaikia tu namna ya kuanza hako kabiashara kako kataanzaaje! Hiyo milioni 100 kwenye real EState ni hela ndogo mno hata ukitaka kuwa agent wa kupangisha nyumba za watu haitoshi kuweka bond mtu akakuamini akakukabidhi apartments zake umwendeshee kwa commission au kwa kukupangishia

Ukiingia ku-compete na hiyo milioni 100 na giants kama National Housing Corporation utaishia kufia njiani hela hiyo itaishia tu kwenye matangazo na ku-create tu awareness kwenye public ya kujitangaza kuwa wewe mura toka musoma uko mujini kwenye biashara ya nyumba.
 
Sijakuelewa ni kujenga au kukodisha I mean 100m is nothing compare to NHC kama wazo ni kukodisha uwe estate agent may be just may be
 
how?peanut money labda uanzie mikoani b'cause that cash can buy a very small plot may be magomeni or kimara | for quick fast expansion you need to stay at city center
 
Mil 100 hupati kiwanja maeneo mazuri Dar.
 
Ha ha haaa! kwa mtaji wa milioni mia labda ujenge vibanda (vioski) vya wamachinga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…