Asa usaidiweje?
ebu kuwa kama binadamu mwenye utu,maana nimeona michango yako mingi ni ya kuvunja moyo na isiyo na msaada,kama jambo huna uwezo wa kuchangia ni bora ukakaa kimya utaonekana una busara,kuliko kuwa unawajibu wenzako pumba tu badala ya kuwapa mawazo ya kuwajenga.Hivi we hapo ulipo umefanikiwa kwa kila kitu?avatar na jina lako haviendani na majibu unayowapa wenzako,kwani we katika kila jambo umefanikiwa?acha mawazo mgando
naona akili yako inahitaji kuwekwa jik,apo nimemjbu nin kibaya huyo dogo?