Wanu Ameir: Wahitimu jikiteni katika kujiajiri

Alikeni makampuni ya nchi za nje kwa wingi yaje kuwekeza yaajiri watu, kama nyie mmeshindwa
 
Popote mtakapokuwa hakikisheni mnajiendeleza katika taaluma zenu ili kwenda sambamba na mabadiliko mbalimbali ya teknolojia yanayotokea duniani

Keep scoring Wanu
Yeye amejiajiri wapi? Anachangia nini kwenye maendeleo ya nchi wakati hata kodi tu ya mshahara halipi? Asitupangie,tutaamua wenyewe, kwanza tumesoma kwa hela zetu wenyewe, yeye nini kimemzuia kujiajiri kama ni rahisi kama anavyodhani? Huyu si ndiyo alikuwa na mchango 0 kwenye bunge lililopita? Aende huko nyau.
 
Video yake ina dakika almost mbili so ameongea vitu vingi mbona umeng'ang'ania hiyo point ya kujiajiri

Mfano mimi nikiwa sifanyi ibada na unafahamu hilo nikija kukuhimiza kuwa ufanye ibada nakuwa nimekosea??.Kwani alichoshauri Wanu ni kibaya

Unamjua Wanu In and Out Mkuu au unamuonaga juu juu tu?

Unajua ametengeneza ajira kwa watu wangapi?kupitia ajira yake hiyo.Umeangalia PAYEE tu mbona kodi zingine hujaangalia.Inawezekana tena akawa analipa kodi kubwa kwa mwaka wa fedha hata wewe humgusi
 
Angekuwa kaandika yeye ningempa dislike nyekundu ile
 
Nimeishika hiyo kwa sababu ndiyo day order ya watawala, yeye hakuona umuhimu wa kujiajiri, but anataka sisi ndiyo tujiajiri tu, simjui in neither out, so is she,hatujui in nor out, but ana tupangia cha kufanya, the only thing I know ni kwamba yeye alipambana kufa na kupona ili aipate ajira aliyonayo sasa, kuhusu ibada ni irrelevant, mkatoliki hapaswi kunishauri mimi msabato nika busu sanamu ya bikira Maria, japo kwa wakatoliki ni relevant.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…