Wanu Ameir: Wahitimu jikiteni katika kujiajiri

Sisi tuko sawa, useme labda baadhi wa watu/ kundi.
Si uliona tar 29?? Au umesahau mara hii Meku??
🤔 najiuliza sana wale watu wasomi , wenye busara wapogo wapi huwa sielewi hata
 
Kmmk
 
🤔 najiuliza sana wale watu wasomi , wenye busara wapogo wapi huwa sielewi hata
Na wao wakishakaa uko wanakuwa kama wale tu, ule ni mtaji wa kupata maisha. Mwangalie Kabudi wa UD na Kabudi wa CCM? Hawafanani hata kidogo, Pia Kitila wa UD, DUCE na CHADEMA na Kitila wa CCM, Ni watu wawili tofauti kabisa.
 
Na wao wakishakaa uko wanakuwa kama wale tu, ule ni mtaji wa kupata maisha. Mwangalie Kabudi wa UD na Kabudi wa CCM? Hawafanani hata kidogo, Pia Kitila wa UD na DUCE na CHADEMA sio Kitila wa CCM, Ni watu wawili tofauti kabisa.
Mimi nilijua usomi unakuja na misimamo na kutoyumbishwa kwa namna yoyote ile🤔
 
Mimi nilijua usomi unakuja na misimamo na kutoyumbishwa kwa namna yoyote ile🤔
Inapaswa kuwa hivyo, lakini kule usomi wake ni unafiki, ndio mtaji. Ukiwa msomi wa kweli na mwenye misismamo utauawa mapema au utatupwa kapuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…