Assenga2002
Member
- Feb 16, 2023
- 7
- 1
Habari Watanzania,
Napenda kuuliza hivi kama kuna ambaye amewah kuwa mnufaika wa HESLB na aka appeal (kata rufaa) na akaongezewa mkopo.
Ni mbinu gani ilitumika had akapata licha ya kuwa syo tasaf member, wazazi wapo wote na hamna ulemavu wowote.
Nimesema hivo kwa sababu mwaka wa Kwanza 60% ya bum nililipa ada nkisaidiana na wazazi hali ilkua vizuri lakini sahiv naona mambo kwa wazazi so mazuri Kama ya mwaka huo.