Wanufaika wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar tukutane hapa na kuutetea

Mpap Ndabhit

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
331
Reaction score
416
Ufike wakati mtushawishi Kwa hoja hasa Kwa watu wa kawaida kabisa kwamba huu muungano umewanufaisha vipi au umekupa hasara Gani wewe binafsi. Binafsi Mimi muungano huu umenisaidia sana kutimiza ndoto yangu. Wakati Tanganyika singeweza kusajiliwa kuendesha biashara yangu nikaenda Zanzibar ambako nikasajiriwa. Maisha safi yanaendelea japo Kuna changamoto ndogondogo. Sasa nikija kufanya biashara zangu huko Tanganyika ni kama foreigner kutoka Kenya au uganda lakini angalau maisha yanaendelea. Nashukuru Muungano naombea huu muungano uweze kudumu.
 
Nimenufaika kama mzanzibari kula mbususu za kibongo mikoa mbali mbali
 
Ufike wakati mtushawishi Kwa hoja hasa Kwa watu wa kawaida kabisa kwamba huu muungano umewanufaisha vipi au umekupa hasara Gani wewe binafsi. Binafsi Mimi muungano huu umenisaidia sana kutimiza ndoto yangu. Wakati Tanganyika singeweza kusajiliwa kuendesha biashara yangu nikaenda Zanzibar ambako nikasajiriwa. Maisha safi yanaendelea japo Kuna changamoto ndogondogo. Sasa nikija kufanya biashara zangu huko Tanganyika ni kama foreigner kutoka Kenya au uganda lakini angalau maisha yanaendelea. Nashukuru Muungano naombea huu muungano uweze kudumu.
Nategemea waunguja na wapemba wajae hapa.
 
Wanufaika wa Muungano waje JF kutafuta nini?

Wao itakua wanaperuzi FB na blog yao ya issamichuzi.
 
Hii Siyo tabia ya wazanzibar Kula mbususu. Ni watu wanaoshika dini, wewe utakuwa mmakonde
Na dada zenu wanavyopenda rangi ukiwa na rangi kidogo tu shobo kama zote na mie nawabachua Muungano daima
 
Ufike wakati mtushawishi Kwa hoja hasa Kwa watu wa kawaida kabisa kwamba huu muungano umewanufaisha vipi au umekupa hasara Gani wewe binafsi. Binafsi Mimi muungano huu umenisaidia sana kutimiza ndoto yangu. Wakati Tanganyika singeweza kusajiliwa kuendesha biashara yangu nikaenda Zanzibar ambako nikasajiriwa. Maisha safi yanaendelea japo Kuna changamoto ndogondogo. Sasa nikija kufanya biashara zangu huko Tanganyika ni kama foreigner kutoka Kenya au uganda lakini angalau maisha yanaendelea. Nashukuru Muungano naombea huu muungano uweze kudumu.
Kuna ukweli tunatotakiwa kuufafanua na kama ni kero irekebishwe kama kweli tunafikiri muungano huu ni wa muhimu.

1. Wazanzibar wengi sana wanamiliki ardhi na majengo bara, kama raia. ila Wabara wanachukiwa wakienda kule, wanaitwa chogo, na katiba yao inazuia watu wa bara kumiliki ardhi. Juzi nilikuwa Dodoma, kwenda benjamin Mkapa kwenye kona ya Udom, kuna migorofa fulani hivi imejengwa, wanasema karibu na vile vijengo vya majaji, wengine wanamtaja mzanzibari fulani anamiliki hiyo migorofa. tukisema wazanzibar leo hii muungano umevunjika waondoke, wengi wataanza kuuza nyumba nyingi na ardhi kubwa wanayoimiliki. KWANINI BARA HATURUHUSIWI KUMILIKI KULE? faida yao ni nini?

2. kwenye ajira, hii ni kero, wazanzibar maelfu na maelfu wameajiriwa bara, hata kwenye mambo yasiyo ya muungano, wameajiriwa bara ambayo kiukweli ipo bara kwasababu zanzibar kuna utawala wao, lakini wabara hawaruhusiwi kabisa kuajiriwa zanzibaar, hii ni kero, inatakiwa iondolewe, ama la kila mtu abaki kwake.

3. wazanzibar wanakuwa wabunge kule kwao, na huku. akiwa mbunge kule kwao, atakula masurufu ya kule na atakuja kula masurufu ya bara kwa kodi za watu wa bara. tuambieni, yale mipesa wanaku wabunge 50 wa zanzibar wanakiula, zanzibar huwa imechangia bei gani? ni pesa za walipa kodi wa bara. na hao hao wakifika huku wakishiba, wanasenma twende kule kwa passport, kwa msiojua, kile ameongea yule mbunge wa zanzibar kwamba wabara twende kwa passport kwao ndicho kilichopo kwenye mioyo ya wazanzibari wote hata wenye mamlaka huku na hata walioajiriwa huku na hata wanaomiliki ardhi huku, amesema kilichopo kwenye mioyo ya wengi. wala hatakiwi kulaumiwa. kwa waliofika zanzibar wanajua kuwa hicho ndio huwa matamanio yao.

4. mzanzibar anaweza kuwa Mkuu wa wilaya, mkoa, na waziri bara, ila sisi kule marufuku. kwanini?

nimeongea hayo kwa uchache tu, lakini ukweli mwingi hata wanaopinga wanaujua, kama tunataka muungano uwepo, ondoeni kero hizi kwa watu wa bara, ama la, kila mtu achukue hamsini zake kwasababu hakuna kitu wabara wanafaidika nacho as of now. na hawajawahi kufaidika. watu wasioelewa watasema huu ni uchochezi, ila jibuni kwa hoja kama mnazo.
 
Kuna nyumba Moja ya wageni nililala pale Kiembe samaki karibu na Barabara ya zamani kwenda uwanja wa ndege. Yule anayemiliki ni mchaga! Kuna dada yangu mhaya tulifanya naye private sector baadaye akawa mwislamu nikaambiwa ameolewa na amepata kazi serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Nadhani watu wa bara Kuna fursa wanapata, sijajua wanatumia vigezo Gani. Kama ni dini siasa sijui.
 
utamiliki hata hotel kule ila ni kama mwekezaji, sio raia, utanmiliki tu kama vile mtaliano anavyomiliki, ila sio. ila wao wakija hapa sio wawekezaji wanamiliki kama raia. hiyo ndio hoja.
 
Back
Top Bottom