Wanufaika wa Samia Scholarship vigezo na masharti yake yakoje kuipata?

Wanufaika wa Samia Scholarship vigezo na masharti yake yakoje kuipata?

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,042
Reaction score
17,320
Hii scholarship inamaana si mkopo sio? Inakuwaje mpaka uipate? Wizara ya Sayansi na Technolojia inapata wapi majina ya wanaostahili kuomba hii scholarship? Ebu wale walionufaika watujuze!
 
Hilo nalijua lazima uwe una div. 1. Sasa wizara ndo inatoa hayo majina au unaomba?
 
Back
Top Bottom