Wanume kenya watakiwa kujitokeza ili watahiriwe kwa hiyari

I wish jambo hili ingekuwa lazima aisee sasa jitu zima mkono wa sweta wa nini
 
Alafu ndo mnataka kushindana na TZ?? Embu kakateni magovi kwanza.
 
Hapa watu wa nyayo watapita kimya kimya kama hawauoni uzi huu. Maana mkono wa sweta pamegusa ndipo ujue
 
Alafu ndo mnataka kushindana na TZ?? Embu kakateni magovi kwanza.
Mnapenda kukuza mambo ambayo hayana tija. Kuna makabila Kenya, nadhani ni makabila mawili, ya Luo na Turkana, ambayo utamaduni wao haukuwa unatambua mambo kama kukatwa govi. Baada ya kushawishiwa na serikali ya Kenya miaka michache iliyopita. Kwamba kuna manufaa ya kiafya ambayo yanaambatana na kutahiriwa wengi wao walijitokeza na wakatahiriwa bure kwenye vituo vya afya. Hamna la ajabu hapo, mimi binafsi sioni ikiwa tatizo kama mtu atachagua kutahiriwa au kukosa kutahiriwa. Govi la akilini ndio huwa lina madhara makubwa kwa maendeleo ya nchi na ya watu binafsi pia. Hayo mengine yote sio ya maana vile.
 
Una mkono wasweta
 
Una mkono wasweta
Nilisimama mtoni chee ya jogoo wa kwanza na nikatizama kisu kwa ujasiri na sikuweweseka wala kufumba macho. Ila ujue sikuelewi. Kwanini una hamu sana ya kujua hali ya mali ya Mama Nyambura? We vipi wewe, wewe ni boflo nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…