Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,977
- 6,635
Shukrani sana kwa elimu tosha hii mkuu....Nina swali la nyongeza ....Kodi utalipia ofisi ya kamishna wa madini ambapo utapata kibali cha kusafirisha nje na utaambiwa thamani halisi ya madini na kodi unayotakiwa kulipa kulingana na sheria mpya ya madini
Kuna madawati ya jamaa waitwao TMAA kila kiwanja cha ndege na mipakani ambao ni mawakala wa serikali wenye nguvu kwelikweli ya kukamata madini, kuyapiga mnada na hata kukupekua kama unadanganya kwenye masuala kama uzito na kadhalika.
Huyo muuzaji (Seller) atakuwa amekupatia stakabadhi ambayo inaonyesha malipo halisi, uzito wake na thamani ya madini hayo.
Mfano inatokea umepata Buyer nje na amekupa offer ambayo Kibongo bongo ipo juu kuliko ulivyokua ukiuza Locally, let's say amekupa offer ya $ 500 per 1 gram......huku ulipoenda kwa Wizarani kwa makadirio ya Kodi na thamani halithi ya MADINI husika, wakakwambia kwa aina ya Madini unayotaka kufanya biashara thamani yake kwa soko la nje ni let's say $ 800 per 1 gram.....
Je...! Serikali hukadiria kodi kwa thamani ya madini ambayo wapo nayo wao au kwa bei ambayo inaonekana kwenye Documents za mauziano kati ya Seller na Buyer.....?