Dela
Member
- Aug 25, 2013
- 78
- 13
Habari za Leo Wakuu? Nimepita sehemu moja wakanimbia kuna baadhi ya coins hasa za Ujerumani ukiwanazo basi unauza bei ya maana, mamilioni ya shilingi za Kitanzania. Naomba kuuliza kuhusu hela zetu za Tanzania na East Africa zenyewe zimefikia huko au la? maana nimepata senti hamsini na nyingine za kizamani sasa sijui dili au niwawekee wajukuu ukumbusho?
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.