Habari za Leo Wakuu? Nimepita sehemu moja wakanimbia kuna baadhi ya coins hasa za Ujerumani ukiwanazo basi unauza bei ya maana, mamilioni ya shilingi za Kitanzania. Naomba kuuliza kuhusu hela zetu za Tanzania na East Africa zenyewe zimefikia huko au la? maana nimepata senti hamsini na nyingine za kizamani sasa sijui dili au niwawekee wajukuu ukumbusho?
Natanguliza shukrani.

Mkuu unaweza kunipa contact za wanunuzi maana ninazo coin na bank notes nyingi za ndani na nje ya tz.Habari za Leo Wakuu? Nimepita sehemu moja wakanimbia kuna baadhi ya coins hasa za Ujerumani ukiwanazo basi unauza bei ya maana, mamilioni ya shilingi za Kitanzania. Naomba kuuliza kuhusu hela zetu za Tanzania na East Africa zenyewe zimefikia huko au la? maana nimepata senti hamsini na nyingine za kizamani sasa sijui dili au niwawekee wajukuu ukumbusho?
Natanguliza shukrani.
Mhhhh!!!! Dunia ina watu hii jamani????!!!@@@@:alien::madgrin:Mkuu unaweza kunipa contact za wanunuzi maana ninazo coin na bank notes nyingi za ndani na nje ya tz.
mkuu ulifanikisha?Hahahaaa