Wanunuzi wa magari tusikose hii neema

ntumie pcha ya Toyota Coaster
 
Mkuu mimi nataka rush naweza kupata? Kwa shilling ngap?
 
Ipo carina ti #b inatakiwa mln6 rangi nyeupe.
Iko carina namba c rangi ya silver inatakiwa 7.5mln...
Ipo toyota passo #
Starlet tafadhal
Ipo starlet namba b,inatakiwa 4.9
 
Ipo carina ti #b inatakiwa mln6 rangi nyeupe.
Iko carina namba c rangi ya silver inatakiwa 7.5mln...
Ipo toyota passo #

Ipo starlet namba b,inatakiwa 4.9
Soma post yako ulisema carina bei gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…