Wanunuzi wa magari tusikose hii neema

Upo na huku kaka

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mkuu Ben nipo ndugu yangu napitia-pitia na huku.....jana tume-draw na malaga naona hata aibu kuonyesha uso wangu' lakini kawaida ya mchezo kaka....so twamsubiri the magician next match tufanye wonderZ! Karibu sana kaka kule kwetu....
 
We acha, jamaa jana wamepak bus duh yana ila angekuwepo mwanaume wangefurahi
 
We acha, jamaa jana wamepak bus duh yana ila angekuwepo mwanaume wangefurahi

Nikweli kaka, hata teamates wanalijua hilo without King nothing....next mechi tutakuwanae dhidi ya Celtic! Tuombe uzima@ Ben
 
antipas huwa ni majina ya kichaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…