Car4Sale WANUNUZI WA MAGARI YALIYOTUMIKA

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,074
Reaction score
308
Wanunuzi wa magari yaliyotumika wanapatikana masaa 24, siku saba za wiki.

Kama una miliki gari na unahitaji kuliuza wasiliana nasi tukupatie mtu wa kununua tukuondolee msongo wa mawazo unaoweza kusababishwa na harakati za kumtafuta mnunuzi wa gari lako

Kama upo tayari kuuza gari lako sasa tutumie habari zake kwa mawasiliano haya, maelezo na picha zake na wapi linapatikana.

Barua pepe: info@kitomai.com

Whatsapp +255784225000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…