mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,083
- 2,099
Anauza gunia la mpunga sh 70 elfu na mchele kilo moja sh 1300 wapi usipoelewa?Wakuu nina biashara ya mchele pamoja na mpunga huku mkoani Tabora.
Gunia la mpunga kwa huku nauza 70000
Mchele nauza 1300 kwa kilo kwa huku
Nipo Nzega Tabora
NB:Mchele wa Tabora na Shinyanga ni mtamu na mzuri sana ingawa unaoamika zaidi ni wa Mbeya
Call: 0762693368
Whatsap: 0762693368
VizuriWewe ndio hujamuelewa vyema. Gunia la Mpunga (mchele) ndani ya maganda anauza kwa Tshs 70,000. Ila, kilo ya mchele anauza kwa Tshs 1,300 sawa na 130,000 kwa kilo 100.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo Dodoma,nataka mchele gunia moja,nipe mchakato nilipie,lifike dodomaWakuu nina biashara ya mchele pamoja na mpunga huku mkoani Tabora.
Gunia la mpunga kwa huku nauza 70000
Mchele nauza 1300 kwa kilo kwa huku
Nipo Nzega Tabora
NB:Mchele wa Tabora na Shinyanga ni mtamu na mzuri sana ingawa unaoamika zaidi ni wa Mbeya
Call: 0762693368
Whatsap: 0762693368
Akikokoboa mpunga,akapata mchele,kilo moja anauza 1300Tsh,kwa kilo 100,inakuwa 130000Tsh.Hueleweki, hiyo 70000 ni gunia la mpunga ama mchele wenyewe? Maana hapo chini umetaja bei ya mchele kg moja 1300
Akikokoboa mpunga,akapata mchele,kilo moja anauza 1300Tsh,kwa kilo 100,inakuwa 130000Tsh.
Kama hajakoboa gunia moja la mpunga,anauza 70000
Sent using Jamii Forums mobile app